Jadiliana nasi

Chagua mada au jadili vipindi pamoja na watazamaji wengine

Jiunge na baraza letu

Mimi Na Tanzania

“Mimi Na Tanzania” ni kipindi kinachohusu masuala yanayoigusa jamii kwa namna moja au nyingine haswa katika siasa, uchumi,michezo,na vikwazo na vimbwangwa vinavyoikumba jamii ya kitanzania.

“Mimi Na Tanzania” ni kipindi kisicho na upendeleo katika kumsaidia mwananchi wa kawaida haswa unyanyasaji unaofanywa na wanaodhani wana nguvu kuliko aliyewaumba.

Tunamulika kaskazi hadi kusini, magharibi hadi mashariki ili kujenga jamii yenye amani, haki na upendo.

“Mimi Na Tanzania” ni kipindi pekee kinachofunga safari kukutafuta habariza kijamii popote pale Tanzania.

Social Networks

Wasiliana nasi

Channel Ten
Hoyce Temu
Email: hoyycet@gmail.com
Tel: +255 767 262625