Jadiliana nasi

Chagua mada au jadili vipindi pamoja na watazamaji wengine

Jiunge na baraza letu

Mimi Na Tanzania

“Mimi Na Tanzania” ni kipindi kinachohusu masuala yanayoigusa jamii kwa namna moja au nyingine haswa katika siasa, uchumi,michezo,na vikwazo na vimbwangwa vinavyoikumba jamii ya kitanzania.

“Mimi Na Tanzania” ni kipindi kisicho na upendeleo katika kumsaidia mwananchi wa kawaida haswa unyanyasaji unaofanywa na wanaodhani wana nguvu kuliko aliyewaumba.

Tunamulika kaskazi hadi kusini, magharibi hadi mashariki ili kujenga jamii yenye amani, haki na upendo.

“Mimi Na Tanzania” ni kipindi pekee kinachofunga safari kukutafuta habariza kijamii popote pale Tanzania.

Comments 

Posted On
Nov 06, 2011
Posted By
Mark Thomson
I'm new to Tanzania and watched your show recently. Keep up da good work, I think it would be good to have more journalists like you. Really liked your way of investigating the case!
Posted On
Mar 10, 2013
Posted By
Rastafari Francis
I'm a Tanzania man entrepreneur and watched your show recently. Keep it up its very touch and good lesson to fellow Media , I think it would be good to have more journalists like you. Really i admire and pray towards your way of investigating the issues from true source, i also condemn /disappointed to those media houses which misuses funds from Donner god will discipline them
Posted On
Nov 14, 2011
Posted By
zuzu
Tovuti ni nzuri sana inavutia kwa kweli watanzania lazima 2kubari kuwa wapo watanzania ambao wanahitaji misaada lakini hawejulikani lakini pia misaada hiyo inakuwa vigumu kuwafakia uhsauri wangu nikwamba watanzania ni watu wa amani na hupenda kutoa misaada lakini misaada hiyo haiwafikii walengwa lakini kupitia kipindi chako tunaamini kuwa watanzania wengi watafikiwa na misaada hiyo kama ikikufikia wewe kwani ninaimani kuwa MWANAKE NI MLEZI MZURI WA FAMILIA!
Posted On
Jan 03, 2012
Posted By
Alison
Nimekuwa nikifuatilia hiki kipindi kwa mda mrefu ni kweli kipindi ambacho kinaelezea uharisia wa maisha ya watanzania wenzetu!Hongera sana hoyce kwani ni wangapi ambao wana elimu na kuzitumia kwa shughuli za kijamii kama unavyofanya wewe na team nzima yako kwenye hii blog unastahili pongeza na mimi ni wasii watanzania wenzangu wajaribu kupitia hii blog ili wajifunze vitu vingi kutoka kwako!hongera sana hoyce temu kwa kazi nzuri.
Posted On
Dec 11, 2011
Posted By
Thomas
I really like this show, it has shown me th real side of Tanzania
Posted On
Dec 12, 2011
Posted By
romeo.luigi
I started watching the show recently, and I am still very much impressed with the efforts all of the people involved are taking. With time this will grow into something most Tanzanians will come to for good information.
Posted On
Mar 19, 2012
Posted By
Emanuel Pantaleo
Hongereni sana kwa tovuti yenu kuwasaidia wale wanaoteseka katika family zao nimetaza kipindi chenu jana inahuzunisha sana!
Posted On
Mar 20, 2012
Posted By
Immaculata Kadyanji
Kweli kipindi chenu ni kizuri sana Hoyce Temu, keep it up...ilinigusa sana hadithi ya yule dada ambaye aligongwa na mume wake halafu akamburuza kwa gari mita kadhaa kwa kweli inasikitisha kuwa bado watu wanafanyiwa ukatili wa hali ya juu. Kama walivyosema wenzangu watu wanapenda kutoa misaada ila wana wasiwasi kutofika kwa walengwa... I have trust in you dada Hoyce najua misaada yote itakuwa inafika. Pia hongera kwa kufanya hii kazi ya jamii.
Posted On
Mar 21, 2012
Posted By
hoyce temu
Asanteni sana, misaada inayochangwa inapokelewa na wahusika moja kwa moja na wala haipiti kwetu labda iwe tu ni kwa mtoto mdogo sana.
Posted On
Apr 16, 2012
Posted By
odette
Naomba kujua hali ya sasa ya Mtoto Sesilia.
Posted On
Apr 16, 2012
Posted By
Hoyce Temu
Ndugu Odette,
Napenda kukutaarifu kwa masikitiko makubwa sana Mtoto Sesilia Edward hatunaye tena. Tulifanikiwa kumpeleka India lakini madaktari walikataa kumfanyia operesheni kwani walisema alifikia stage mbaya na pia alikuwa na sumu ya mihogo mwilini ambayo ilikwishamdhuru sana. Tulitangaza kifo chake katika blogs zote. Asante sana kwa ushirikiano wako. Hoyce
Posted On
Apr 16, 2012
Posted By
odette
I am so sad, sijui kwa nini sikupata taarifa,asante sana, mungu atakuwa amempokea.Nilipata priviledge ya kupokea ujumbe toka India kutoka kwa mlezi wake kuhusu maendeleo na ndiyo ilikuwa mwisho.
Vile vile Napenda nikupongeze sana kwa kipindi hiki unachoendesha huwa napenda kukiangalia sana nikiwepo nyumbani na kinanijengea upeo wa kutafakari ubinadamu na uwepo wa mungu na kujiuliza mimi ni nani nahisi ni kwa wote wapenzi wa kipindi hiki katika rika mbali mbali na wenye uwezo mbali mbali wa hali na mali.Mungu akutie nguvu na kukuongezea ujasiri.Wewe ni Role model kwa maMiss Tanzania na utazidi kubarikiwa,tuta endelea kukuunga mkono.Ubarikiwe sana.
Posted On
Apr 16, 2012
Posted By
Hoyce Temu
Nashukuru sana Odette. Tuko pamoja
Posted On
Apr 21, 2012
Posted By
Avelina Matinde
HONGERENI KWA KIPINDI KIZURI CHA KUPUNGUZA SHIDA ZA WANAJAMII. MUNGU AWAONGOZE KTK MISAADA YENU HIYO
Posted On
Apr 24, 2012
Posted By
Mainde Nkya
Hoyce, Mungu huyu atakulipa. Hata kazi UN umepata ni baraka zake. Mshukuru Mungu na usijute hata kidogo kazi unazofanya, ni ngumu sana na usichoke. Kweli wewe ni mwanamke wa pekee. Inaonyesha jinsi ulivyo jasiri lakini una roho ya Huruma. Nimekuona wakati unamhoji mtoto Sesilia, pia ulishindwa kujizuia ulipojua kuwa ugonjwa wake hautibiki tena. Pole sana and keep it up!
Posted On
Apr 26, 2012
Posted By
Stella
Hongera sana Hoyce. Kutoa ni moyo na siyo utajiri. Laiti watu wangelijua kwamba hatukuja na kitu na wala hatutaondoka na kitu - matajiri wangetoa mali zao zote kuwaokoa wenzao wanaoteseka. Keep on the good work
Posted On
Apr 26, 2012
Posted By
Maua
Asante sana kwa kazi nzuri Hoyce. Sifa apewe eeh bwana. Ningependa kujua tatizo la Bi Saada limeishia wapi na kaka wa Singida aliyepata ajari? Na je kuna makampuni yoyote yameweza kuitika wito wa kuwalipa fidia zao???? Please help real touched.. and more clips pls
Posted On
Apr 26, 2012
Posted By
Musa Hassan
Hii ndio nchi yetu! Nchi ya maziwa na asali! Tunaendelea kulala wakati kumekucha. In short these are basic human rights issues that we are denied of! Kubakwa kwa mtoto wa chini ya miaka kumi bado serikali ina kigugumizi na hili? Bora nibaki huku huku kwenye nchi za watu angalau haki za binadamu zinakumbukwa!Ho yce pole sana, ujasiri wako sio wa kawaida...
Posted On
Apr 28, 2012
Posted By
Shiawase
Kipindi mada ni nzuri. Hata hivyo kwa kuwa unasema Mimi na Tanzania, please add unguja na pemba, as without the two,islands it is Tanganyika...somit is either you change the name to Tanganyika or add the two islands..pemba and unguja! All da best!
Posted On
Aug 20, 2012
Posted By
mwingira.benedict
ni wazi kipindi kinasadifu maisha halisi ya jamii, hasa makundi yaliyo tengwa jamani tuwaunge mkono wenzetu wali anzisha wazo hili, aksante na mungu awabariki amina
Posted On
May 11, 2012
Posted By
Eva Valerian
Hi hoyce! Katika katiba mpya mapendekezo yangu waangalie na kurekebisha kipengele cha haki ya mtoto endapo baba na mama wametengana kisheria matunzo ya mtoto yaendane na uhalisia.

Haki ya wanandoa wanapoachana kuhusu mgawanyo wa mali na haki ya kumlinda kisheria.
Posted On
May 20, 2012
Posted By
Saidi Msangi
Hi Hoyce hongera sana kwa unachokifanya ukishirikiana na channel ten kusema ukweli kipindi chenu nikizuri sana nakinatusaidia sana hasa wale watanzania wahali ya chini kwa matatizo yanayo tukumba. Ilike your show big up sana be bless.
Posted On
May 26, 2012
Posted By
Mercy katabi
Keep the good work Hoyce na Mungu akubariki sana.am so touched about cecilia,may her so rest in peace
Posted On
May 30, 2012
Posted By
Prosper Chaki
Hi Hoyce, I truly like your show, keep up doing the good work, the returns will be so abundant, you touching the lives of so many hopeless hearts, bless you
Posted On
May 30, 2012
Posted By
hoyce temu
Asante sana nashukuru, tuko pamoja.
Posted On
Jun 24, 2012
Posted By
Bob_Dash
Mimi nimekuwa nikifuatilia baadhi ya vipindi vyako, kusema kweli huwa mara nyingi na guswa sana kuona jinsi unavyojituma, you are down to earth, huwa unakuwa na uwajibikaji kwa kujituma kwa moyo wa dhati kabisa, hakika nchi yetu inahitaji viongozi kama wewe, mtu anayeweka kuguswa na shida za watu na kusaidia kutafuta suluhisho.
Ushauri wangu kwako ingekuwa vizuri kukuona wewe katika ulingo wa siasa, naona unafaa sana kuwakilisha Watanzani katika taasisi muhimu za kitaifa mfano Bungeni ama ngazi za juu za utawala Mikoani, otherwise endelea na kazi yako nzuri ya kuwakilisha na kutetea jamii.
Posted On
Sep 08, 2012
Posted By
Abdul
Hongera sana dada kwa kazi nzuri unayofanya.
Nilifatilia kile kipindi kinachohusu ile familia ya watoto waliokua wanapata ulemavu kila wanapotimia umri wa miaka 10.
Kuna hawa kina Mze wa Upaku, Kakobe na wengine tunasikia wanponya walemavu na wenye magonjwa sugu, ungejaribu kuwasiliana nao huenda wakaisaidia ile familia.
asante.
Posted On
Sep 09, 2012
Posted By
Elizabeth Mgaya
Asante Dada Hoyce kwa kipindi hiki kizuri.nimesikitishwa sana na familia inayopatwa ulemavu wa viungo wakiwa na umuri mkubwa na Ningependa kuanzia serikali za mitaa hadi ngazi za juu tuguswe na ile familia ikiwezekana kuwatengenezea mazingira mazuri kama vile wa mrazi mavazi chakula na ikiwezekana wapelekwe shule za watoto wenye ulemavu wa viungo kupitia msaada wa sisi wenyewe wa Tanzania.hivyo kama Mtanzania toa mchangango wako kama tunavyochangia sherehe mbalimbali.
Posted On
Oct 01, 2012
Posted By
ALLEN RAPHAEL ARUSHA
LABDA KWASABABU NASOMEA MAMBO YA KIJAMII;LAKINI UKWELI N KWAMBA SHO YAKO INATENGENEZA AWARENESS KTK JAMII NA PIA HUONDOA DHANA POTOFU KWA HOSTS WALIO WENGI TZ KWAMBA TV NI KWA AJILI YA MUSIC NA MAMBO YAHUSUYO BURUDANI TUU....4RIL HOYCE NAKUPENDA LAIT MAMIS WOTE WANGEKUWA NA VISION KAMA ULIYONAYO NCHI YE2 INGEBADILIKA 100%BIG UP SAAAANA
Posted On
Oct 13, 2012
Posted By
Koku
Ubarikiwe kwa kazi nzuri Hoyce. Sisi kikundi chetu tunaangalia kusaidia jamii pia, tunaandaa safari kwenda Morogoro kuwaona familia ya watoto 5 wenye ulemavu, pia tutaende Shinyanga kuna familia watoto 3 pia wana ulemavu na baba kawakimbia, kuna kijana amekaa Muhimbili kwa muda mrefu amepooza miguu anahitaji wheel chair, tunamshirikisha Mungu wetu asiyeshindwa ili tuweze kuwafikia ndugu zetu hawa tunagawane kile tulicho nacho. Tunakuombea nguvu na uzima ili usambaze habari hizi katika jamii.
Posted On
Oct 15, 2012
Posted By
ALLEN RAPHAEL ARUSHA
kipindi chako cha jana ni kizuri kwan kinasave sn wanyonge wanaoonewa kuhusu maeneo yao apa arusha....incase of anyhing mi ni wa apa arusha ntafurahi sana sku unialike kwenye harakati zako nami niweze kushiriki japo mara moja apa jijini arusha...asante
Posted On
Oct 18, 2012
Posted By
lulu
napenda vipindi vyako sana
Posted On
Dec 07, 2012
Posted By
kizegeli
vipindi vyako navikubali xna
Posted On
May 12, 2013
Posted By
Agape Nzowa
Mbunge wangu Lema nakukubali

LEAVE A REPLY

Social Networks

Wasiliana nasi

Channel Ten
Hoyce Temu
Email: hoyycet@gmail.com
Tel: +255 767 262625